NABI: RIVERS WALITUFUNGA 2021 KWA SABABU HATUKUWA TAYARI

KOCHA wa Yanga, Mtunisia Nasredine Nabi amesema walitolewa na Rivers United katika Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa sababu hawakuwa tayari, lakini kwa sasa wapo vizuri.
Nabi amesema hayo leo kwenye mkutano na Waandishi wa Habari mjini Uyo, Nigeria kuelekea mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Rivers United Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini humo.






Post a Comment (0)
Previous Post Next Post