SIMBA WALIVYOIANZA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI LEO


KIUNGO wa Simba SC raia wa Mali, Sadio Kanote akiwa Jijini Casablanca, Morocco leo wakati wa safari ya kurejea nyumbani, Dar es Salaam baada ya kutolewa na Wydad Club Athletic katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa penalti 4-3 usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Mohamed V kufuatia sare ya jumla ya 1-1, kila timu ikishinda 1-0 kwake.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post