YANGA TAYARI WAPO KATIKA HIMAYA YA RIVERS


MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamewasili salama Uwanja wa Ndege wa Victor Attah mjini Uyo, Nigeria kuelekea mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Rivers United Jumapili Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini humo.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post