YANGA WALIVYOWASILI LAGOS KUIVAA RIVERS UNITED JUMAPILI


WACHEZAJI wa Jesus Moloko (kushoto) na Fiston Kalala Mayele (kulia) baada ya kuwasili Jijini Lagos nchini Nigeria leo kwa ajili ya mchezo na wenyeji, Rivers United Jumapili.
Yanga itamenyana na Rivers katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumapili Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini Uyo huko Akwa Ibom Kusini mwa Nigeria, kabla ya timu hizo kurudiana Aprili 30 Dar es Salaam.
GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO 


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post