YANGA WAONDOKA LAGOS KWENDA NYUMBANI KWA RIVERS UYO


KIUNGO wa Yanga, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Murtala Muhammed, Jijini Lagos nchini Nigeria kwa safari ya kwenda mjini Uyo kumenyana na wenyeji. Rivers United katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post