JKT TANZANIA KUCHEZA NA TRANSIT CAMP LEO WAKABIDHIWE KOMBE


BODI ya Ligi imeandaa mchezo maalum kuikabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi ya Championship timu ya JKT Tanzania, ambayo leo itamenyana na Transit Camp kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Uhuru Jijini dar es Salaam.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post