MBEYA CITY YAICHAPA GEITA GOLD 1-0 NYANKUMBU


TIMU ya Mbeya City imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu Girls mjini Geita.
Bao pekee la Mbeya City limefungwa na George Sangija dakika ya 57 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 30 na kusogea nafasi ya 12, wakati Geita Gold inabaki na pointi zake 37 nafasi ya tano baada ya wote kucheza mechi 28.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post