RAIS YANGA SC AITISHA MKUTANO MKUU WA MWAKA SAA CHACHE

RAIS wa Yanga SC, Hersi Ally Said ameitisha Mkutano Mkuu wa mwaka utakaofanyika Juni 24, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.
Tangazo la Mkutano huo linakuja Saa chache kabla ya mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga ikimemyana na USM Alger leo Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post