SIMBA SC YAAJIRI MTAALAMU WA KUSAKA VIPAJI


KLABU ya Simba SC imemtambulisha Mholanzi, Mels Daalder kuwa Mkuu wake wa Idara ya kusaka vipaji vya kusajili kwneye timu yake kuelekea msimu ujao.
Daalder amebeba matumaini makubwa ya uongozi wa Simba kutokana na uzoefu wake wa kufanya na kazi na klabu kubwa ikiwemo Manchester United.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post