KIKOSI CHA YANGA KIMACHOKWENDA ALGERIA KUWAVAA TENA USM ALGER


HII ndio orodha ya wachezaji wa Yanga wanaoomdoka leo kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Jumapili Jijini Algiers. 
Yanga inahitaji ushindi wa 2-0 ili kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutwaa Kombe la Afrika baada ya kufungwa 2-1 kwenye mechi ya kwanza Dar es Salaam Jumapili iliyopita.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post