OSCAR PAUL MCHEZAJI WA KWANZA KUACHWA TANZANIA PRISONS


KLABU ya Tanzania Prisons imeachana na kiungo wake Oscar Paul akiwa mchezaji wa kwanza kutemwa kuelekea msimu ujao.
“Tunamshukuru Oscar Paul kwa mudawake wote aliyoutumia katika timu yetu. Uongozi unamtakia kila la kheri katika maisha yake mengine nje ya Tanzania Prisons SC,” imesema taarifa ya Prisons.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post