RAIS SAMIA KATIKA HAFLA YA KUWAPONGEZA YANGA LEO IKULU


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji na Makocha wa timu ya Yanga wakati wa hafla ya kuwapongeza kwa kufanikiwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ambako walishindwa na USM Alger ya Algeria kwa mabao ya ugenini kufuatia sare ya jumla ya 2-2, wakifungwa 2-1 Dar es Salaam na kushinda 1-0 Algiers.
Hafla hiyo ya kuwapongeza Yanga imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post