SHUKRANI ZA YANGA SC KWA MHESHIMIWA RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN

UONGOZI wa Yanga umetoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa mwaliko wa Ikulu jana kupongezwa kwa kumaliza nafasi ya pili kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post