YANGA SC WALIVYOONDOKA KUIFUATA USM ALGER NCHINI ALGERIA


KIPA wa Yanga, Djigui Diarra akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati wea safari ya kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Jumamosi Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers. 
Yanga inahitaji ushindi wa 2-0 ili kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutwaa Kombe la Afrika baada ya kufungwa 2-1 kwenye mechi ya kwanza Dar es Salaam Jumapili iliyopita.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post