AZAM FC KESHO WANA MECHI YA KIRAFIKI NA AL HILAL YA SUDAN


KLABU ya Azam FC kesho itacheza mechi ya kwanza ya kirafiki katika kambi yake Tunisia kwa kumenyana na Al Hilal ya Sudan Uwanja wa Olimpiki Jijini Rades kuanzia Saa 1:00 usiku kwa Saa za Tanzania.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post