AZAM FC LEO WAMEFANYA MAZOEZI UFUKWENI MJINI SOUSSE


KIKOSI cha Azam FC leo kimefanya mazoezi ya kukimbia kwenye fukwe za Mji wa Sousse nchini Tunisia ambako wameweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post