HomeMTBsports EDWARD CHARLES MANYAMA BAADA YA MATIBABU TUNISIA byMtibwaCity -July 28, 2023 0 BEKI wa kushoto wa Azam FC, Edward Charles Manyama akiwa amefungwa kinga mkononi baada ya kuumia juzi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Club Tunisien nchini iTunisia ambako klabu yake imeweka kambi ya kujiandaa na msimu. PICHA: EDWARD MANYAMA BAADA YA MATIBABU TUNISIA Tags: MTBsports Facebook Twitter