HomeMTBsports KIHIMBWA AHAMIA TANZANIA PRISONS BAADA YA MBEYA CITY KUSHUKA DARAJA byMtibwaCity -July 17, 2023 0 KIUNGO mshambuliaji, Salumu Ramadhani Kihimbwa amejiunga na klabu ya Tanzania Prisons kwa mkataba wa mwaka mmoja na kutoka Mbeya City iliyoshuka daraja. Tags: MTBsports Facebook Twitter