MSHAMBULIAJI MPYA YANGA AANZIA KUJIFUA GYM KIGAMBONI


MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga SC, Hafiz Konkoni akiwa mazoezini kwenye kambi ya timu hiyo, Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya baada ya kusajiliwa mwishoni mwa wiki kutoka Bechem United ya kwao, Ghana.
PICHA: HAFIZ KONKONI AKIJIFUA GYM


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post