MWINYI ZAHERA NDIYE KOCHA MPYA WA COASTAL UNION


ALIYEWAHI kuwa kocha wa Yanga SC na Polisi Tanzania, Mkongo Mwinyi Zahera leo ametambulishwa kuwa Kocha mpya Mkuu wa Coastal Unión ya Tanga inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post