SIMBA YASHUSHA KOCHA WA VIUNGO KUTOKA RWANDA


KLABU ya Simba imemtambulisha Mnyarwanda Corneille Hategekimana kuwa kocha wake mpya wa Fiziki.
Huyo anakuwa mtaalamu wa pili wa benchi la Ufundi kutambulishwa leo baada ya kocha wa Makipa, Mspaniola Daniel Cadena ambaye msimu uliopita alikuwa Azam FC.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post