SIMBA YASHUSHA WINGA KUTOKA ASEC MIMOSAS


KLABU ya Simba imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao kwa kumsajili winga wa kushoto, Aubin Kramo Kouamé kutoka klabu ya ASEC Mimosa ya kwao, Ivory Coast.
Aubin Kramo Kouamé (27) anakuwa mchezaji wa pili tu mpya baada ya mshambuliaji Mcameroon, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post