TWIGA STARS KUMENYANA NA BOTSWANA KUFUZU OLIMPIKI YA MWAKANI PARIS


TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars itamenyana na Botswana katika Raundi ya Pili ya kufuzu Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024.
Twiga Stars inayofundishwa na Kocha Bakari Nyundo Shime itaanzia nyumbani Oktoba 23, kabla ya kusafiri kwa mchezo wa marudiano Gaborone Oktoba 31.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post