WINGA Mkongo wa Yanga SC, Jesus Moloko amefanyiwa upasuaji leo Jijini Dar es Salaam baada ya kuumia mwezi uliopita na atakuwa nje kwa wiki zizisopungua tatu.
Wakati huo huo, kikosi cha Yanga kimewasili Jijini Mwanza mapema leo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya went, Geita Gold Jumapili Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.