YANGA KUMENYANA NA KAIZER CHIEFS JULAI 22 DAR


KLABU ya Yanga itacheza mechi ya kirafiki ya kujipima nguvu dhidi ya vigogo wa Afrika Kusini, Kaizer Chiefs Julai 22 Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam katika kilele cha Wiki ya Mwananchi.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post