FEISAL NA YANICK BANGALA WAKIPAMBANA MAZOEZINI AZAM FC


VIUNGO wapya wa Azam FC, Feisal Salum (kulia) na Mkongo Yanick Bangala (kushoto) waliosajiliwa kutoka Yanga wakidhibitiana kwenye mazoezi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post