BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) jana ilikutana na viongozi wa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kujadili mapendekezo ya maboresho ya kanuni za ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Agosti 15.

Tags:
MTBsports