HomeMTBsports COASTAL NA YANGA ZAONYWA, KOCHA WA AZAM APIGWA FAINI byMtibwaCity -September 28, 2023 0 BODI ya Ligi imezionya klabu za za Coastal Unión na Yanga kwa makosa tofauti ya kikanuni, huku Kocha wa Makipa wa Azam FC, Khalifa Aboubakar akitozwa faini kwa utovu wa nidhamu. Tags: MTBsports Facebook Twitter