MAN UNITED WACHAPWA 1-0 NA CRYSTAL PALACE OLD TRAFFORD


WENYEJI, Manchester United wamechapwa 1-0 na wenyeji, Crystal  Palace bao pekee la beki Mdenmark, Joachim Andersen dakika ya 25 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.
Kwa ushindi huo, Crystal Palace 11 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Manchester United inabaki na pointi zake tisa nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi saba.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post