FIFA YAIFUNGIA SIMBA SC KUSAJILI KISA PAPE SAKHO


SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Simba kufanya usajili hadi itakapoilipa klabu ya Teungueth ya Senegal sehemu ya mauzo ya mchezaji Pape Ousmane Sakho kwenda QRM ya Ufaransa.


Baada ya taarifa hiyo ya FIFA iliyotolewa na TFF - Simba nayo ikatolea ufafanuzi sakata hilo na kuahidi kuilipa Teungueth haraka iwezekanavyo.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post