GEITA GOLD YAFUNGIWA KUSAJILI HAIJAMLIPA BEKI MGHANA FEDHA ZAKE
byMtibwaCity-
0
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Geita Gold kufanya usajili hadi itakapomlipa beki Mghana, Shawn Oduro aliyepeleka malalamiko yake kwenye bodi hiyo ya soka duniani.