MECHI SABA ZA LIGI KUU ZAAHIRISHWA KUPISHA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZÍBAR


MECHI saba za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara zinazozihusu Azam FC, Simba SC na Yanga SC zimeahirishwa ili kuzipa fursa timu hizo kushiriki michuano ya kila mwaka ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzíbar.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post