SIMBA SC YAITISHA MKUTANO MKUU WA MWAKA JANUARI 2024
byMtibwaCity-
0
KLABU ya Simba imeitisha Mkutano Mkuu wa mwaka anbao utafanyika Jumapili ya Januari 21, mwaka 2024 kuanzia Saa 3:00 asubuhi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.