TABORA UNITED YAFUNGIWA TENA KUSAJILI KWA TATIZO LILE LILE


SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kufanya usajili hadi itakapomlipa haki zake mshambuliaji Mkongo, Fabrice Ngoy ambaye kwa sasa anachezea Namungo FC ya Lindi.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post