TFF YAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO NA SAUDI ARABIA


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) leo limesaini mkataba wa ushirikiano Shirikisho la Soka Saudi Arabia.
Upande wa TFF uliwakilishwa na Rais mwenyewe, Wallace Karia, Makamu wake, Athumani Nyamlani na Katibu wake, Wilfred Kidao huku kwa Saudi Arabia ikiwakilishwa na Rais wake wa shirikisho pia, Yasser Al Misehal.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post