UWANJA WA UHURU WAFUNGIWA, SIMBA YAHAMIA CHAMAZI


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeifungia Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kutokana na mapungufu kadhaa na kwa maana hiyo Simba SC mechi zake zitahamia Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kuanzia dhidi ya KMC kesho.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post