MLANDEGE MABINGWA TENA KOMBE LA MAPINDUZI, MNYAMA CHALI ZENJI



WENYEJI, Mlandege SC imefanikiwa kutetea ubingwa wa Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba ya Dar es Salaam usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji mpya, Joseph Akandwanaho kutoka Mbarara City ya kwao, Uganda aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 54.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post