AZAM FC YAMPONGEZA MTENDAJI WAKE MKUU WA ZAMANI KUTEULIWA MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU YA ZANZIBAR

KLABU ya Azam FC imempongeza aliyekuwa Mtendaji wake Mkuu, Abdul Mohamed kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar.
Uteuzi huo umefanywa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Dk. Hussein Mwinyi.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post