TANZANIA PRISONS YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI KWA KUMSAJILI NYOTA ALIYEKUWA ANACHEZA KARIOBANGI SHARKS YA KENYA


KLABU ya Tanzania Prisons imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa kumsajili kiungo mshambuliaji Athanas Mdam aliyekuwa anachezea Kariobangi Sharks ya Kenya kwa mkataba wa miaka miwili.
Pamoja na mchezaji huyo aliyeibukia akademi ya Alliance ya Jijini Mwanza, Prisons pia imemsajili tena mlinda mlango wake, Hassan Msham na kumpandisha beki wa kushoto wa  timu ya vijana U20, Ibrahim Abdallah Abraham.





Post a Comment (0)
Previous Post Next Post