AZAM FC YACHAPWA 4-0 NA RED ARROWS LEO MWANAWASA


TIMU ya AZAM FC imechapwa mabao 4-0 na wenyeji wao, Red Arrows katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Levy Mwanawasa Jijini Ndola nchini Zambia ambako imeweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post