AZAM FC YATUA ZAMBIA KUWEKA KAMBI

 


KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama jijini Ndola, Zambia kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya


Mara baada ya kuwasili, kikosi hicho kitapumzika kabla ya kuendelea na programu ya mazoezi kesho Jumanne, asubuhi na jioni.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post