CLATOUS CHAMA NA TUISILA KISINDA WOTE KUCHEZA TIMU MOJA MSIMU UJAO, RSB BERKANE YA MOROCCO


KIUNGO Mzambia, Clatous Chama na winga Mkongo, Tuisila Kisinda watacheza timu moja msimu ujao, RSB Berkane ya Morocco.
Wawili hao wote wanatokea klabu za Tanzania, Chama SC na Kisinda Yanga SC ambao ni wapinzani wa jadi na wakati wowote klabu hizo zitatangaza rasmi kuwatoa.
Bado Simba ipo kwenye hatua za mwisho pia za kumuuza nyota wake kutoka Msumbiji, Luis Miquissone kwenda Al Ahly ya Misri, wakati kiungo Mkongo wa Yanga, Tonombe Mukoko anaweza kuondoka pia.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post