TWIGA STARS YAPANGWA KUNDI B MICHUANO YA COSAFA PAMOJA NA BOTSWANA, TANZANIA NA ZIMBABWE


TANZANIA imepangwa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika kwa Wanawake, ijulikanayo kama COSAFA Cup 2021.
Katika michuano hiyo, Twiga Stars imewekwa kundi moja na Botswana, Sudan Kusini na Zimbabwe, wakati Kundi A kuna wenyeji, Afrika Kusini, Angola, Malawi na Msumbiji na Kundi C zipo Zambia, Namibia, Eswatini na Uganda.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post