DEPAY AINUSURU BARCELONA KUCHAPWA LA LIGA


BAO la mshambuliaji Mholanzi, Memphis Depay dakika ya 75 liliisaidia Barcelona kupata sare ya 1-1 na wenyeji, Athletic Club Bilbao waliotangulia kwa bao la Ínigo Martinez dakika ya 50 katika mchezo wa La Liga Uwanja wa San Mames Barria, Bilbao.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post