EXPRESS YA UGANDA YATWAA KOMBE LA KAGAME KWA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA NYASA BIG BULLET YA MALAWI LEO DAR


TIMU ya Express ya Uganda imefanikiwa kutwaa Kombe la Kagame baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Nyasa Big Bullet ya Malawi, bao pekee la Martin Kizza dakika ya 22 usiku wa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post