MATOLA AENGULIWA TAIFA STARS, NSAJIGWA SHADRACK ACHUKUA NAFASI YAKE YA UKOSA MSAIDIZI...IVO KOCHA MPYA WA MAKIPA


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemuengua Seleiman Matola katika nafasi ya Kocha Msaidizi timu ya taifa, Taifa Stars na kumteua Nsajigwa Shadrack katika jukumu hilo.
Aidha, Ivo Mapunda ameteuliwa kuwa Kocha wa makipa, wakati Nadir Haroun 'Cannavaro' anaendelea kuwa Meneja wa timu, wote wakifanya kazi chini ya Kocha Mkuu, Mdenmark, Kim Poulsen.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post