HISPANIA NA BRAZIL ZATINGA FAINALI YA SOKA OLIMPIKI

HISPANIA itamenyana na Brazil kuwania Medali ya Dhahabu ya Olimpiki katika soka Jumamosi, baada ya bao la dakika za nyongeza la Marco Asensio kuwapa ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Japan.
Brazil kwa upande wao waliwatoa wapinzani wao wa Amerika, Mexico kwa penalti 4-1 kufuatia sare ya 0-0.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post