MBEYA CITY YATOZWA FAINI SH MILIONI 1.5 KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UVUNJAJI KANUNI ZA MCHEZO DHIDI YA GWAMBINA ILIYOSHUKA DARAJA LIGI KUU


TIMU ya Mbeya City imetozwa faini ya jumla ya Sh. Milioni 1.5 kwa makosa mbalimbali ya uvunjaji kanuni kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Gwambina iliyoshuka daraja.






Post a Comment (0)
Previous Post Next Post