MIQUISSONE ATAMBULISHWA RASMI MCHEZAJI MPYA AL AHLY

 


RASMI klabu ya Al Ahly ya Misri imemtambulisha kiungo mshambuliaji wa kimafaifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone kuwa mchezaji wake mpya kutoka Simba SC ya Tanzania. 

GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO





Post a Comment (0)
Previous Post Next Post