RASMI JACK GREARISH NI MCHEZAJI WA MAN CITY KWA DAU LA REKODI

KLABU ya Manchester City imemsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa England, Jack Grealish kwa dau la Pauni Milioni 100 kutoka Aston Villa alikodumu kwa miaka 19 akianzia timu ya vijana.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 aliyesaini mkataba wa miaka sita sasa anakuwa mchezaji ghali zaidi wa England Na wa tisa kwa ujumla duniani kuwahi kusajiliwa kwa gharama kubwa kihistoria.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post